Matthew 8:4

4 aKisha Isa akamwambia, “Hakikisha humwambii mtu yeyote. Lakini nenda ukajionyeshe kwa kuhani, na utoe sadaka aliyoamuru Musa, ili kuwa ushuhuda kwao.”

Isa Amponya Mtumishi Wa Jemadari

(Luka 7:1-10)

Copyright information for SwhKC